Wadau na wapendwa wote kama nilivyo wa aidi kama nitakua nawa blog na kuaeleza kazi zangu, basi huu ni mimi mwenyewe The Superlative nikiwa Boston, MA ndani ya Mall apo mchezaji wangu mpya Nyandwi zebedayo ''Robot'' akawa amenipeleka mitaa mbali mbali kwa maongezi zaidi ya filamu. Kijana huu anachekesha, kwa maongezi yake utakutwa umesha sahau na kile ulicho kipanga kufanya na amenihakikishia kua anaenda kuonyesha uwezo wake hasasa baada ya filamu hii.
Apa ni mimi na mchezaji mpya Nyandwi Zebedayo ''Robot'' (left-kushoto) yani baada ya maongezi tukaon vizuri twelekee nyumbani ndipo sasa kidogo tukachukua ma pozi.
Ndugu wadau mzigo huu unaenda kuwapa burudani na sipendi nijisifie ao nisifie filamu kabla hijaondelewa, wenyewe mtaniambia mzigo ukisha kua mitaani. kaeni kwamakini nitawapa Surprise week hii.
No comments:
Post a Comment