Kwa mfano nilio yafanya:
Hiyo ni DVD Cover ya mpwa (Niece) wangu, ilikua Gift yangu nimemka kama zawadi
kwenye sherehe yake ya kuzaliwa. Alikua akifikisha mwaka mja (May, 2011) na kama mnavyo ona piya Cover hii imetengenezwa na Seth Vyamungu
Huu ni dada Yangu na Mme we, hii ni DVD Cover ambae niliwatengenezea.
Ni kumbukumbu tu ya Harusi yao kwani ili hata na watoto wao wakashuhudie
harusi ya wazazi wao
Kama munavyo ona piya, kwenye cover hii (up-left) imewekwa ''Seth V Arts'' Hii ni cover ya muimbaji maarufu ambae anakuja kwa hari kali katika tasnia ya Nyimbo za Injili -Kirundi, Swahili, English- Kijana huu ni twende tu. Yeye originally ni Mrundi pia nyimbo zake kwa ujumra ni tasnia ya Nyimbo za Injili Nchini Burundi. Cover hii imetengenezwa na Seth Vyamungu ''Kaburungu''
Hii ni cover ya ''BirthDay Party'' filamu ambao ilikua ya kwanza na kuwafungulia mlango warundi ambao wanaishi Inchini Malekani (USA). Fimalu (movie) imetengenezwa na Seth Vyamungu ''Kaburungu'' ikiwemo Director, Editing, Video shooting, Graphic Design, Story Composer, Scripts writer, hata kucheza pia nimecheza ndani movie hii. Movie iliondelewa Oct, 2010 by UBC -United Burundian Community- Mwanzo wa safari yangu kutengeneza ma filamu ulikua huu. DVD Wrap hiyo imetengenezwa na Seth Vyamungu ''Kaburungu''