Ndugu wadau, nafikiri siku chache tu nilikua naongelea kua kazi ya Mungu naendeleza pia Mungu anazidi kutuwezesha. Kama nanyi munavyo ona kwenye Head Picture apo Juu, mambo ni hayo.
Mungu ameweza kubaliki Ministry yetu ya Vijana ivi sasa tuna websites kama www.cagministry.com na ingine ambao inakuburudisha ndani ya Yesu www.cagvoice.webs.com
Wadau wengi hua wanauliza eti kama nimebadilisha kutokutengeneza filamu tena, jibu ni kwamba apana sijabadilika ila kuigiza nitaigiza katika movie imbao inashikiriana na mambo ya Mungu. Na kama ni ku hariri ama ku shoot filamu iyo naiendelea kama kawa, pia nimefanya mabadiliko kidogo kwamba UGLEAWOOD Entertainment nimeamua kuyiacha na kuanzisha CAG Voice Entertainment. Iyo ndo itakua inawaburudisha ndani ya Yesu na itakua ina protect CDs and DVDs za waimbaji ama wachezaji wa Injili Movies.
Kazi yangu bado naendelea vile vile ila sitakua na uwezo mkubwa wa kuigiza isipokua tu ni filamu ya Injili. kwa ku edit (uhariri) nitumika kama kawaida, kazi naifanya. ukitembelea apo juu kidogo kwenye ''Services'' page, utaona kazi za utengenezaji nimewai kufanya.
Kwa kifupu, nawakaribisha nyiye wote kwenye Ministry hiyo tena mukatembelee website zetu na mka waalike wenzenu tukajiunge wote ndani ya Yesu Christo Bwana. www.cagministry.com or www.cagvoice.webs.com