Ndugu wadau apa basi mwaka wa 2011 nilikua natembelea Hawaii kwa upande upo kama vijiji vyetu vya Africa. Apa basi nilikua naburudika na Muwa maana siku myaka mingi sili muwa. Karibu tule Basi!!
Apo basi Huduma ya miwa ikiendelea
Mpwa (Niece) wangu naye kaja kushiriki nami katika huduma hiyo
Baadaye tulienda kuogelea katika Beach moja moja kabisa inachekesha kidogo maana nikama vile africa. Dada yangu alikua ananiambia kua ipo nika mpinza basi akanipeleka ndo hiyo basi ndugu wadau maana ndani ya Hawaii kuna Burudani ya akila aina ambaye mwenyewe utafurahia
Naimani hata Dada yangu anapenda kua Kamera man kama kaka yake. Haya ndo Ameanza!!!! Lol