Ndugu wadau huu ulikuwa mwaka wa 2010 ambapo nilikua bado naishi Seattle, WA. Warundi wenzetu warikua wali amua kufanya Kundi la kucheza Soccer, ivo sasa nami nikaona nijiunge nikafanye mazowezi. Namba yangu ambao napenda kuchezea ni 7. Usipo kua golikipa wa hatari lazima niingize bao. Si kufanya Business tu bila mazoezi Jamani. Jenga mwili wako ao sio? Cha kushangaza kwa sasa sina hamu ya kucheza Soccer maana Mungu kasha nichukua kua wake tena naifurahia sana maana kile chote chenye kumelemeta ninacho kwa ajili ya Mungu. Njoo Tumtumikie bwana mapema kabla jua halijajificha.
Mapozi mbali mbali baada ya mazoezi!
Mapozi mbali mbali baada ya mazoezi!