Monday, April 9, 2012

Hawaii mahali pazuri naipenda Sana ''My Home Town''

Apa ni mahali karibu na bahari, iyi inaitwa ''Green Sea Turtle'' Jamani Turtle hizi ni kubwa sana kabisa zina nyama ya kutosha. Wale wanao penda kula nyama kama hizi, karibuni niwahudumu.

Hapa ni mpwa (Niece) wangu pamoja na The Superlative Kaburungu ''Me''. ilikua BirthDay yake akifikisha mwaka mmoja. Maana kananipenda sana yani hata nami nakafurahia sana ndo nikaone ni vyema nikasherehe chama chake cha Birthday party na ilikua May, 2011.

Mchoko tu wakuoegelea katika bahari zenye kufanana kama Africa. Jamani Ni Burudani ya aina yake kipekee. Hata ukependa za professional za ku enjoy life, Jamani tunakwenda Honolulu, tunapata huduma yakutosha.

No comments:

Post a Comment