"Uncle Jimmy"
Wadau wangu wote, na Imani huu kijana wengi munamjua katika movie nilio mshirikisha ya 21Days. Kwawalio nunua full original DVD ya movie hii (21days), mwishoni mumeshuhudia Comedy nilio ifanya naye kwa maongezi furani; na ndani ya movie alikuwemo maana alicheza na warembo katika scene ya Club.
Kijana huu anaenda kwa jina la "Uncle Jimmy"Anaishi Boston, Massachussetts USA. Katika safari (ao Experience) yakuigiza filamu, kijana huu ametangulia kwa filamu nilio mshirikisha ya 21Days ilio rikodiwa State ya Vermont. Kwa maongezi nilio kua naye, kweli nimejua yakwamba Comedy na Drama anaziweza pasipo masiara. ivi sasa baada ya hayo, amekuja na filamu ya Comedy ambae inaitwa "Crazy family" Na katika kuongea na kaka yake "Felix", nikwamba apo Boston, MA kuna kikosi kali kinatengeza ma filamu; karibu firamu tatu wamesha tengeneza ila bado hazijaondelewa kutokana na kuwaandalia uhariri wa hari ya Juu kwamba watowe mzigo ulio bora. Na katika ma filamu haya mtakutana na Uncle Jimmy kuaburudisha Comedy na Drama zisizo kifani.
Ebu mwenyewe Jionee Trailer ya "Crazy Family". Bonyeza apa
Na kwenye Youtube Channel yake inaenda kwajina "Nyandwi Augistine" utashuhudia video zingine zake maana hata maongezi yake mwenyewe yatakuhakikishia yakwamba, burudani ya Comedy ipo kwake. Nakusii madau zangu, malafiki na fans ya blog ao kazi zangu, musikose nakala zengu ndembo za rangi ya kumelemeta yani "Original DVD" mujipatie Burudani.
Sikiliza alivyo fanya ndani ya 21Days Movie. utamuona kuanzia 2:13
Kama bado hujapata nakalo yako harisi, ni mda wako sasa wakuipata, wasiliana nasi kwa mengi zaidi.