Wednesday, June 6, 2012

Nikiwa naitendea haki Album ya Hossana Choir

Hapa nikiwa naitendea haki kwaya Hossana katika Album yao ya kwanza na ilikua mwaka wa 2011 mwezi wa nane (8). Kwaya Hossana wanajitaidi kuitendea kazi nzuri hii Album, ninaimani wengi mtaipenda pia hata na mimi mtanisikia na kunitazama ndani ya Album hii. 



                           Wanaume hapa wakiwa kazini na mambo yanaendelea kama kawaida. 



Kazi inaendelea kama kawaida, waimbaji wakiwa kazini uku kushoto kulikuwa na wengine lakini Camera haikuonyesha kwa wote! 



                        Wote kwa pamoja ila wawili walikua wamechoka wakapumzika 


Kazi ikiendelea kama kawaida. The Superlative kaburungu, silazima katika scene zote nitumie Tripod (Stand) maana utaramu waku shoot ninao, pia kama bado hujapata vifaa kutosha niheri kuitumia hakiri na uwezo wa kipekee ili kazi iendelee vizuri.