Thursday, January 30, 2014

Kampuni yangu ya Afro Shemeza Studios/Stores kwasasa tuna soko ya kuuzisha nguo na viatu

Wadau, kama kawaida yanyu, hua napenda kutanguliza shukrani kwa Mungu anae tupa uwezo wa kuvuta pumzi na kusamehe dhambi zetu. Nawaomba radhi pia kwakua mala nyingi sionekani kwenye blog hii. Rasmi, nimeanza soko kama kawaida kuuza nguo na viatu na vinginevyo ambavyo vinatakiwa kununuliwa. niko naijenga vizuri na niko natengeneza website ambao wadau wanaweza kununua wakitumia credit/debit (VISA, Master) zao. Nikimaliza nitawajulisha mda si mlefu. Kwasasa munaweza tembereya facebook yangu at www.facebeook.com/afroshemeza ao apo juu ubonyeze kwenye page ya "Afro Shemeza Stores" ili uone byashara ambavyo navyo kwa sasa. tuko tunatengeneza byashara vingi sana, na siku sinyingi, kwa maombi yenu, na ushirika wenu, Mungu atatubariki. 
 
Endeleeni kutembelea blog hii! 

No comments:

Post a Comment