Napenda kutangulia kuaomba radhi siku nyingi sipatikani kwa blog hii, nilikua bado na burudika na mapumuziko pia na kazi zingine ila naona mapumuziko yameisha narudia kazini rasimi na muda sio mlefu movie murikuwa munangojea muda mrefu sana basi itaondolewa mwezi huu wa tatu (March).
Basi mutajiuliza mengi kuhusu movie hii 21Days kwanini commercial ya kwanza na cover images haiko kama leo? ki ukweli wadau, nilipenda niwape burudani ambao itawahakikishia kua mwenyewe The Superlative kazi naiweza na sio muchezo. nimeibadilisha kabisa iko mupya na tena kwenye kiwango cha hari ya juu. naimani wadau wengi hapa USA & Canada mutaipenda sana. wechezaji ni wapya sijawai kuwatumia ila jinsi navyo waona kuweni tayari kuwapa ufunuo wa filamu. siwezi wasifia kwa sasa, napenda muitazame kisha wenyewe mutaniambia.
Ndani ya siku chache nitawaonyesha Cover mypa ya Movie hii, na Movie Trailer.
Kueni makini nimerudi apa blog nitakua nawajulisha kinacho endelea.
Bado inatayalishwa na Afro Shemeza Studios (UGLEAWOOD Movies, www.ugleaworld.ning.com)
No comments:
Post a Comment