Wadau 21Days inakaribia kuingia studio kwa uhariri, The Superlative nikawa naitendea haki. apa nikawa na shoot moja scene katika filamu hii.
Uyu ni mama Kamikazi katika moja ya scene in movie, akawa anapata maelezo ya kufanya. Mama huyu ameonyesha uwezo yani apa atawapa burudani. sipendi nimusifii kwa sasa ngojeeni mzigo utoke mutaniambia.
Mwana dada Yvonne Ndayisenga ''Shenaiza'' ameingia katika tasnia ya UGLEAWOOD Movies, hapa akiwa tayari ku shoot movie. subirini awape zake huo mwana dada.
Wadau huu ni Johnson Mukubwa anasema kua anaenda kua bega na mimi mpaka anawaonyesha uwezo wake, yani kwanzia leo ni swahiba wangu. ndipo akapenda ni mupe nafasi ya kuonyesha uwezo wake yani apo ametoka Canada mpaka USA. wadau nimependa uigizaji wake hadi mwenyewe sikutegemea kua angefanya nilio yaona. kueni hewani mzigo unakaribia kuondolewa.
a good tip for filming, shadows are really bad. equal ligthing in the room is what you should always Aim for and not a lot of light. -Aime. M.
ReplyDelete