Kwanza natangulia msamaha mkubwa sana kwa ndugu na wadau wote ambapo muko katika maeneo na mikowa mbalimbali. Nime wa miss sana. Katika kwenda kwangu, liniwaambia yakwamba nina blog mpya ambao ilikua www.kaburungu2013.blogspot.com ambapo ilikua kuwaakilisha kazi zangu za mwaka huu wa 2013, ila nimejikuta kua napenda sana blog hii. basi ndugu wadau nimerudia rasmi na twendelee na kazi.
Kama wengi munavyo kua munafuatia kazi zangu kutumia viwanja vijine vya website, kweli kazi naendelea kama kawaida, na kampuni yangu Afro Shemeza Stduios" imefanikisha kutengeneza video ya Methuselah mwezi wa pili mwaka huu wa 2013 (Febuary, 2013)
No comments:
Post a Comment