Kwenye uwanja wa Facebook nimefanikiwa kuongea na Kijana "Hassan Assadunllah" ajulikinae kwa jina la "MUGISHA", huu ni mmoja wa wasanii Nchini Burundi katika tasnia ya filamu. Filamu aliyo icheza iitwae "MUGISHA" ilio sababisha kijana huu kujulikana Nchini na Nchi za inje, katika maongezi naye kijana huu alisema kua kwa sasa amecheza filamu 6; 3 kwa kirundi, 2 kwa kirafansa, 1 kwa kiswahili.
Mugisha anasema kua bado yuko katika maendeleo ya filamu.
Basi ndugu wadau tasnia ya filamu Nchini iko inasonga mbele kama mnavyo ona, nitaendelea kuwapa story hadhisi endapo mukiendelea kuitembelea blog hii.
No comments:
Post a Comment