Ndugu wadau woooote nawasalimu katika Jina la Yesu. I jumatano tarehe 05, mwezi wa 12, mwaka wa 2012 Kijana wenu munao amini "The Superlative Kaburungu" nilikua Live kwenye radio ya Isanganiro kama nilivyo waeleza kwa facebook. Katika kipindi hicho nilikua pamoja na waimbaji maarufu apa USA na Canada, kama Witness M. Kabura, Bukuru Celestin, Abel Nkurunziza, Methusela Nzisabira, Aline D. Vyuka, Eliphaz Ntunzwenayo. Awo wote tulikua pamoja kwa kipindi hicho "Jumatano Msanii" na Mtangazaji maarufu nchini Burundi "Ernest Pablo Baryuwabo"; ndani ya kipindi tulikua tunawaakirisha album yenu "Himbaza Collection" Mwaka huu, The Superlative silali wala hakuna kuregea, niliwaaidi wadau wangu yakwamba nitawaletea Entertainment katika tasnia nyimbo za Injili, ivi sasa safari imeanza. Tutakua tena kwenye kipindi ijuma tatu (Monday) tarehe 10 mwezi huu wa 12, mwaka wa 2012. Nitawakumbusha kwenye facebook mda ukikaribia. Napenda kumshukuru sana "Ernest Pablo Baryuwabo (Mtangazaji maarufu nchini Burundi kupitia radio ISANGANIRO)" anaye nisaidia sana kwa kutangaza na kusambaza kazi zangu, Namtakia baraka kutoka kwa Mungu! hata na watangazaji wengine kama GLM & Rema FM, Mungu awape baraka kutoka kwa Mungu. Shukrani zangu pia kwa wadau wangu wote, kama si ninyi jina langu haina faida katika jamii, lakini munanisaidia sana katika kimawazo na ku support kazi zangu, Endeleeni na Mungu atawazidishia baraka, ninyi muhimu sana katika kazi hizi.
Cover yenyewe ya "Himba Collection Vol1" ni hii. Umoja katika jamii ni nguvu tena hujenga! Hawa wote niwasanii munao amini katika tasnia ya nyimbo za Injili; Album inaenda kuondolewa karibuni mwezi wa kwanza mwaka wa 2013. Usikose kuinunua CD hii maana kazi ilomwo imebalikiwa, yani imepakwa mafuta, ndugu wadau nawa amini sana kwa support mnao nipa, naamini pia yakua kila mtu apata nakala yake harisi (Original Copy). Nitawajulisha ikifika madukani..... Tembelea www.burundiangospel.com kwa mengi zaidi!
Shukrani kubwa sana kwa Mungu anae nipa vipaji hivi, na mafanikio katika kazi zangu zote! Wadau mukiona naimba, nahubiri, nakua maarufu katika kazi zangu, ao nafanya jambo lote lile, nikwasababu ya neno la Mungu, yanu huu Yesu ana umuhimu katika maisha yangu; hivi vyote ni yeye katenda maana yundani mwangu! Heshima na Utukufu pamoja na Sifa zote vimurudilie Mungu daima yote milele!
-The Superlative Kaburungu-
Shukrani kubwa sana kwa Mungu anae nipa vipaji hivi, na mafanikio katika kazi zangu zote! Wadau mukiona naimba, nahubiri, nakua maarufu katika kazi zangu, ao nafanya jambo lote lile, nikwasababu ya neno la Mungu, yanu huu Yesu ana umuhimu katika maisha yangu; hivi vyote ni yeye katenda maana yundani mwangu! Heshima na Utukufu pamoja na Sifa zote vimurudilie Mungu daima yote milele!
-The Superlative Kaburungu-
No comments:
Post a Comment