Ndugu wadau, hii ni Camera Mpya nimenunua. Mwanzoni nahisi mulikua munaniona na Panasonic Cameras, kweli nilikua big fan wa panasonic, lakini baada ya kukutana na Canon EOS au 7D, kweli nimevutiwa. Kwa picha nakuhakikishia kwamba ni Full HD; Kwa Video ndo usiseme, Video zangu zote zitakao tengenezwa na Afro Shemeza Studios, zitakua zinatambulishwa kama "Burundian Gospel Videos". Kama unahitaji uhariri wa hari ya Juu, na Video yako kua yenye kumelemeta, Compuni yangu ndo ya kutumia. Niko Available ikiwa, ni Sherehe ya harusi, Chama cha siku yakuzaliwa, ikiwa ni Video yote ile unataka, karibu. Ila kwa zaidi nitakua nachukua video ya nyimbo za Injili ao filamu za Injili. Nina Lenses mbili, yani hata kama uko mbali naweza kukukogota. Kama nilivyo waambia wadau, kampuni yangu niko naipamba moto, nikishirikiana na Kaka yangu "Silas Manirakiza"
Tukikutana utarajie kuona Camera yangu kama hivi. Niko nanunua vifaa vingine vinge vya kupamba camera ili muonekano uje kabisa wenye aina yake. Kweli mtaona yakwamba, mimi si mtu wa kusema bila matendo na katika jamii nawaletea kitu kipya chenye maana, na katika ujio wa uimbaji wangu, nisiseme mengi mumeshaona kazi nayo fanya kwa bidii ili kazi zangu zisambalike. Haya ndugu mdau, kampuni ni yako "Afro Shemeza Studios" kuitumiaa.
Niko najiandaa kununua vifaa vingine, kila kifaa nitakua nanunua, nitawaonyesha, maana ninyi mna nafasi kubwa sana katika maendeleo yangu, pia nawapenda sana katika Jina lake Mwokozi wetu Yesu. Nikikawiya kua blog, basi mujue kwamba nitakua niko busy na mambo furani, na munivumiliye ila musichoke kunitembelea.
Usisahau kutembelea Official Site yangu kwa www.kaburungu.com
Truly Yours,
The Superlative Kaburungu
No comments:
Post a Comment