Tuesday, November 23, 2010

BirthDay Party bado inasambazwa. pata nakara yako harisi


Usinunue fake DVD. nakama unaona anayo uzisha ao anaonyesha iyo basi tupigie simu kwa sili, zawadi nono itatolewa. 


Ndungu wadau tujaribu kuendelesha kazi mbele kwa kukununua Original Copy za movie zangu (A Kaburungu Arts Films) kupitia Afro Shemeza Stores ao katika maduka mengine ila iwe Original. Ukikamatwa na fake DVD utaweza fungwa myaka mitano na fine ya $10,000. kama unaelewa kingeleza unaweza soma bonyeza hapa http://kaburungunews.blogspot.com/p/about-us_01.html     na kama huelewi twandikie vyamungu@gmail.com or info@kaburungu.com 


BirthDay Party still on Sale. Take an Original full copy now! Bado inasambazwa sasa pata nakala yako harisi. 

No comments:

Post a Comment