Sunday, November 21, 2010

bila kumsahau Mungu katika kazi, Na hatuko wachezaji tu bali waimbaji na watumishi wa Mungu


Wadau na mashabiki biblia inatufundisha kua kumcha bwana ni mwanzo wa haki na maisha. Sasa unapo tenda lolote lile usimusahau Mungu. Weka Mungu mwanzo kwa kila jambo lako lote ndipo utapata balaka na mafanikio.

Sasa Musinione na cheza movies, sio muigizaji ila niko pia mtumishi wa Mungu. Na katika kutazama movie, usiangalie ma sanamu tu ila utazame na ujifunze kutoka mafundisho unayo ona ndani movie. Na Imani kila movie pale kuna mafundisho na lengo langu kubwa kucheza movies ni mafundisho na ushauri kwa ndugu zetu wapendwa watamazamaji wa filamu. Sasa unapo tazama movie naomba ujifunze kutoka pale. 

Basi kama kawaida. Tunaendelea mbele, Mungu anazidi kutubaliki. Mimi sio muigizaji tu bali niko mtumishi wa Mungu na ningependa sana kuwashauri kutia Mungu na umutii na kukili dhambi zenu zote ukamwachie bwana maisha yako akatende kazi.

Na ukiandika ''Seth Vyamungu'' in youtube utaona nyimbo zangu chache nilizo imba pale ilikua 2009 na bado nilikua na anza production. 

No comments:

Post a Comment