Ndugu wapendwa pamoja na wadau wangu wote, nashukuru kwa musaada wenu kwa kunipa matumaini kua nitaendelea vizuri. Pia na toa shukurani kubwa sana kwa Mungu alie sababisha haya yote nakunipa uwezo wa kutenda haya yote, na namuomba mwaka huu wa 2011 uwe mwaka wa mambo mapya na balaka zaidi.
Tunashukuru Mungu anaye tupitisha katika mwaka unayo pita, kweli kabisa tulifanya mengi japo shetani aliharibu ila Mungu anatupigania siku kwa siku. jamani mwaka mupya na mambo mapya. sasa tugeuke tuwache ujinga wa mwaka ulio pita tuka anze na mwaka wa 2011. nahisi kua huu mwaka utakua mwa muziri sana kwa kua na anza maisha upya tena na badaliko pia na balaka za Mungu. Nashukuru Mungu kwa hilo.
Katika kuigiza kwangu, naomba Mungu awe mwanzo kwa kila jambo nitakalo lifanya. filamu zangu zikawafundishe yalio mema na kuepukana na mabaya. Na aidi wadau wangu na mashabiki na ndugu wapendwa kua movies zangu zinaenda kua bora zaidi na quality ya hali ya juu. na kwa kuaonyesha ivo nimewawekea community (UGLEA World Community - ugleaworld.ning.com) kuwaonyesha kua tunaenda kushirikiana na wa artists wote kwa pamoja tukawape burudani. movies zangu nyingi tena bora zaidi zina karibia. nitafurahi sana wadau mukinisaidia kwa kununua na ku support.
katika kuimba kwangu, nafurahi tena kwa vile na muimbia Mungu. naimba Gospel Songs and Worship songs. mala kwa mala utakuta na rap ila maneno ni mungu. wadau nyimbo zangu za mwaka huu ziwafundishe na mupate balaka Mungu akawasaidie sana katika mambo yote munayo fanya.
huu ni mwaka mupya na mambo mapya. kama unahisi kuna kitu unataka kufanya ila huna uwezo. usi site kuniita tukasaidiane. nipo kwalo njo pamoja tumwombe Mungu atupe balaka na mafanikio. huu ni mwaka mupya na ningependa wote tumukalibishe Yesu kua mwokozi wetu wa maisha yetu. kama una shida una kitu unataka kufanya ila shetani amekutenga nacho, na unaitaji musaada wa maombi, karibu nipo muda wowote, njoo tukamwombe Mungu naye atatenda!
Asanteni nyote nawatakia mema katika mwaka huu wa 2011
-The Superlative Kaburungu-
Friday, December 31, 2010
Tuesday, November 23, 2010
BirthDay Party bado inasambazwa. pata nakara yako harisi
Ndungu wadau tujaribu kuendelesha kazi mbele kwa kukununua Original Copy za movie zangu (A Kaburungu Arts Films) kupitia Afro Shemeza Stores ao katika maduka mengine ila iwe Original. Ukikamatwa na fake DVD utaweza fungwa myaka mitano na fine ya $10,000. kama unaelewa kingeleza unaweza soma bonyeza hapa http://kaburungunews.blogspot.com/p/about-us_01.html na kama huelewi twandikie vyamungu@gmail.com or info@kaburungu.com
BirthDay Party still on Sale. Take an Original full copy now! Bado inasambazwa sasa pata nakala yako harisi.
Sunday, November 21, 2010
bila kumsahau Mungu katika kazi, Na hatuko wachezaji tu bali waimbaji na watumishi wa Mungu
Wadau na mashabiki biblia inatufundisha kua kumcha bwana ni mwanzo wa haki na maisha. Sasa unapo tenda lolote lile usimusahau Mungu. Weka Mungu mwanzo kwa kila jambo lako lote ndipo utapata balaka na mafanikio.
Sasa Musinione na cheza movies, sio muigizaji ila niko pia mtumishi wa Mungu. Na katika kutazama movie, usiangalie ma sanamu tu ila utazame na ujifunze kutoka mafundisho unayo ona ndani movie. Na Imani kila movie pale kuna mafundisho na lengo langu kubwa kucheza movies ni mafundisho na ushauri kwa ndugu zetu wapendwa watamazamaji wa filamu. Sasa unapo tazama movie naomba ujifunze kutoka pale.
Basi kama kawaida. Tunaendelea mbele, Mungu anazidi kutubaliki. Mimi sio muigizaji tu bali niko mtumishi wa Mungu na ningependa sana kuwashauri kutia Mungu na umutii na kukili dhambi zenu zote ukamwachie bwana maisha yako akatende kazi.
Na ukiandika ''Seth Vyamungu'' in youtube utaona nyimbo zangu chache nilizo imba pale ilikua 2009 na bado nilikua na anza production.
Sunday, October 17, 2010
I just finished the Movie BirthDay Party. So take it a chance to watch....
Here, John was just finishing to kill me and Buntu as mike in a movie was checking if I was still alive... haaaa not funny, I am telling you...
I was trying to get a pause that match with the movie ''BirthDay Party'' hahahah not really serious but actually I was...
This is the ad and cover image. Lol, we're all glad we made this movie as well and this is the first time to act except myself Kaburungu 'cause I had a little experience of making films as well which I took drama course in high School and that helped me a lot to gain an experience of acting, and in the other hand Mr. Paul who was my teacher in high school helped me a lot by teaching me editing and designing videos and pictures and I would love to thank him a lot for his support. So, now I am growing much in production and filming as well as you can all see. I myself directed, edited, created, video camera man (john helped), and I composed the story. I didn't expect that my partners could act like this because it was the first time for them to act such films but I'm amazed how things went as successful even though it doesn't look like a real professional but it is something that gave us a good start and I'm receiving a lot of congrats from people that we've done well.
Stick around for more movies that I'm preparing and you're welcome to join. I promise that you'll never regret the spend of your buying or watching my films (either I acted or created)
People in the movie:
Seth Vyamungu as Charles (Story, Director and Producer)
Buntu Redempter as Mike (Screen player#1)
Zacharie Igirukwishaka as Zack (Screen player#2)
Justine Irankunda as Sandra (Scree player#3)
Florine Iramfasha as Sandrine (Screen player#4)
John Iyisabwa as Charter (Bodyguard#1)
Jenevieve Irumva as Denise (Bodyguard#2)
Balitremi Niyonkiuru (FBI Investigator)
Esther Ndayishimiye (Police Officer)
Pascasie (Mike's neighbor)
Subscribe to:
Posts (Atom)