Picture taken in interview with The SYUB Show
Kijana wenye Heshima zake Pierre Lukata ambae anajulikana kwa Jina la “Young PDK” Kijana huu amefanya zake za kuinua Industry ya warundi apa malekani na Inchi mbalimbali za Nje. Pia ni Pruducer wa SYUB Show akishirikiana na Steven Raphael wakitesa apo Houston, Texas.
Young PDK ni Founder and Chair man wa EASTAFRICANHIT.com website hiyo inatangaza habari mbalimbali za wasanii wa warundi na watanzania. Young PDK ni mrundi ambae amezaliwa nchi ya Congo. Katika SYUB Show aliaidi ya kwamba hata waimbaji wa Nyimbo za Njili anawapa karibu awatangazie kazi zao katika website yake. Tembelea website EASTAFRICAN.com utapata kujua mengi kuhusu yeye.
Akiendelea na pozi mbalimbali baada ya Show, nafikiri alikua ana check jinsi Interview ilikua.
Warundi, tusaidiane katika kazi zetu ili tuyiendeshe mbele Nchi yetu ya Burundi. Naimani kuna mabadiliko yanaenda kutokea kwetu sisi warundi hapa malekani tukishirikiana kwa upendo na umoja!
No comments:
Post a Comment