Huu ni The Superlative Kaburungu nikiwa na toa neno la Mungu katika kanisa ya warundi muji wa Dallas. Ilikua tarehe 3 mwezi wa 6 (Jun 3, 2012), na Mungu ametenda yake kama vile vile alivyo kua anatenda siku zote. Njili ya Mungu lazima isonge mbele na sisi vijana ndo nguvu ya kuineza pasipo kulala ao kutia udhaifu.
Tunazidi kuomba maombi ili tukaweze kutayarisha vizuri uwepo wa mkutano tarehe -July 7-8, 2012. Kazi tunaiendelea pia nashukuru vijana wa Dallas kwa kujitoa ili tuweze kushugurukia mkutano huu. Naimani vile mulivyo kua mnajua Dallas, sio Dallas tena kama ulivyo kua unajua. Karibuni mkutatoni ukashuhudie miujiza ya Mungu, nina Imani utapata mafunzo ya kutosha kuhusu kazi ya Mungu na Jinsi wa Kristo tunapaswa kua katika safari yetu ya kwenda mbinguni. CAG Ministries imeandaa mkutano huu ili tuweze kutangaza Injiri ya Mungu kwa ulimwengu wote hasasa warundi wapo USA, na nina imani Mungu anaenda kukutana nawe katika mkutano huu ingawa bado hujaokoka, huu ni mwaka wa kushuhudia miujiza ya Mungu. Karibuni wote katika mkutano wa CAG ''CAG Ministries Live Conference, Dallas Tx'' July 7-8, 2012
Mahubiri yakiendelea
No comments:
Post a Comment