Thursday, April 12, 2012

CAG Voice Entertainment Inaanza kazi rasmi

Ndugu zangu wadau kama livyo waeleza siku zilizo pita kua UGLEAWOOD Entertainment nimeigeuza kua CAG Voice Entertainment. Maana twaenda kuaburudisha na kazi za Mungu na kampuni hiyo inakuja kwa ukali harisi, tembelea http://www.cagvoice.webs.com/ utajionea mwenyewe kazi kubwa.

Na katika kampuni yangu Afro Shemeza Studios nimemushirikisha Swahiba wangu wakaribu sana ambae anajulikana kwa Jina ''Didas Nivyayo'' Naye ni moja kati ya viongizi wa CAG Ministry ''Men Ministry Director'' yani Mkuu wa wanaume katika Ministry zetu. Pia Afro Shemeza twaenda kuapa burudani kali sana katika uandaji wa nyimbo za Injiri na mambo mengineo. Kama kuna kazi unataka kutengeneza twelezee hapa ndani ya Afro Shemeza Studios tutakufanyia kazi isiyo kifani.

Mengi nitawarushiya badaye, endeleeni kutembelea blog yangu nitakua nawataarifu jinsi kazi zinazo endelea yani hata mwenyewe ukitufuatiya utaona kweli sisi warundi hapa USA kupitia CAG Ministry tumebalikiwa.

Tangu nianzishe Ministry ya CAG kweli mabadiliko yalitokea mala kwa mala, Mungu alisikia kilio chetu na anatubaliki usiku na Mchana yani, tuko naye bega kwa bega. Hatuna hofu yeyote ile maana Mungu yupamoja nasi. Njoo hata mwenyewe ujiunge na CAG Ministry (http://www.cagministry.com/) usikilize utamu ulomwo ndani ya Yesu. Jamani sisi wenzenu tunaburudika sana ndani ya Yesu na chakula kipo tena chakutosha, Maana Mungu anawangoja wote tushirikiane kwa umoja. 

Toa maoni (comments) yako ili kazi iendelee kwa usalama. tembeleeni siku zote nitawapa kile chote kinacho tokea ao nacho tarajia kualetea cha kujenga jamii yetu!

No comments:

Post a Comment