Mwenyewe the Superlative Kaburungu nikiwa natoa neno moja au mbili katika sherehe hiyo. Lengo kubwa la sherehe ni kwamba kaka yangu alikua anamtambulisha mkewe kwa watu maana alikua mda kitambo ameowa. Basi nikawa nawapa burudani katika sherehe hiyo maana ilikua fan kibao maana baada ya hapo tulipata burudani kwa kucheza mziki, Jamani nikuwahi kucheza katika maisha yangu kama nilivyo cheza hadi ma shwahiba zangu tulio kua nao wakashangaa sana wakisema yakwamba kijana nirusha burudani. Hii sherehe ilikua mwaka wa 2011 May
Kaburungu nikiwa na wa rembo wario irusha pepe filamu ''BirthDay Party'' Justine Ir. Florine Ir. Jeniffer Ir. wote pia walishiriki katika sherehe hiyo. Si wenyewe tu hata wakina Balitremi N. A.K.A FBI Officer, Zacharie Ig. Buntu Red. John Iy. na wengineo wengi walio shiriki katika filamu ''BirthDay Party''
The Superlative Kaburungu, From right is John Iyisabwa, and back of John is my big brother ''the host of the party''. Nyuma yangu ni mdogo wake na Buntu Red.
Maendeleo ya Burudani. hapa ni The Superlative Kaburungu pamoja na Buntu Redempter. Wengine wapo wana chapa chakula nasi tupo kwenye ma pozi, ao sio!
Mambo ya Nje apo baada ya sherehe kumalizika tukipata hewa nje na kuchukua ma pozi kidogo. In blue is my sister-in-law which is my brother was presenting for. Wengineo ni Justine na Florine pamoja na The Superlative Kaburungu
No comments:
Post a Comment