Wednesday, March 14, 2012

Kumbukumbu katika sherehe ya Kaka yangu (My big Brother)


Mwenyewe the Superlative Kaburungu nikiwa natoa neno moja au mbili katika sherehe hiyo. Lengo kubwa la sherehe ni kwamba kaka yangu alikua anamtambulisha mkewe kwa watu maana alikua mda kitambo ameowa. Basi nikawa nawapa burudani katika sherehe hiyo maana ilikua fan kibao maana baada ya hapo tulipata burudani kwa kucheza mziki, Jamani nikuwahi kucheza katika maisha yangu kama nilivyo cheza hadi ma shwahiba zangu tulio kua nao wakashangaa sana wakisema yakwamba kijana nirusha burudani. Hii sherehe ilikua mwaka wa 2011 May

Kaburungu nikiwa na wa rembo wario irusha pepe filamu ''BirthDay Party'' Justine Ir. Florine Ir. Jeniffer Ir.  wote pia walishiriki katika sherehe hiyo. Si wenyewe tu hata wakina Balitremi N. A.K.A FBI Officer, Zacharie Ig. Buntu Red. John Iy. na wengineo wengi walio shiriki katika filamu ''BirthDay Party''

The Superlative Kaburungu, From right is John Iyisabwa, and back of John is my big brother ''the host of the party''. Nyuma yangu ni mdogo wake na Buntu Red. 

Maendeleo ya Burudani. hapa ni The Superlative Kaburungu pamoja na Buntu Redempter. Wengine wapo wana chapa chakula nasi tupo kwenye ma pozi, ao sio!

Mambo ya Nje apo baada ya sherehe kumalizika tukipata hewa nje na kuchukua ma pozi kidogo. In blue is my sister-in-law which is my brother was presenting for. Wengineo ni Justine na Florine pamoja na The Superlative Kaburungu

Monday, March 12, 2012

Bukuru Celestin Amekuja na 1st Album ''Urugendo''


Huu ni Kijana ''Bukuru Celestin'' ambae ni muimbaji wa nyimbo za Injiri. mwaka huu wa 2012 amekuja na album yake ya kwanza inaendakwa jina ''Urugendo'' CDs. katika album hiyo kuna nyimbo kwa luga tofauti zikiwemo Kirundi na Kiswahili. 

Basi ndugu wadau Kijana akapenda ni mtengenezee cover na akapenda kutumia kampuni yangu kwa Duplication. Sauti zimekodiwa katika kampuni tofauti uko anako ishi Roanoke, VA. Ila cover na duplication copies By Seth V. Arts (Afro Shemeza Studios in Association with Victory Studios -www.victorystudios.com).

Natoa shukrani kubwa kwa Kijana huu ambae amemukaribisha Mungu katika maisha yake ili aweze mtumia kwa vipaji mbalimbali alivyo mpa. Ninatoa shukrani pia kwake kwa kueza kuaniamini ili atumie uwezo wangu wakumsaidia katika album yake ya kwanza. kama mnavyo jua, kila kava yote itakao andikiwa ''Seth V. Arts, Afro Shemeza Studios'' mwenyewe The Superlative Kaburungu nimetengeneza. Unaweza kusoma mengi kwa kubonyeza kwenye page ya ''Service'' Ila kwa kazi nyingi mtakua mnaona ''CAG Entertainment, or CAG Pro''

Album imesha ondolewa pateni nakala zenu harisi (original) na si fake. Tujenge uchumi wa Nchi na tuiendeshe kazi ya Mungu mbele.

Monday, March 5, 2012

Johnson Mkubwa pamjona na Radio Rema Fm Burundi Cinema!


Ndugu zangu na wadauu, kijana wangu Johnson Mkubwa apa akiwa anaongea na Mtangazaji wa Radio Rema FM Burundi Cinema Nchini Burundi. 

Jamani ndoto ya Kijana imesha timia. Nimefurahi sana kwa sababu nilikua napenda nihakikishe ndoto yake kama vile vilivyo kuwa nasema na kabisa ametimiza ndoto yake! Ivi sasa Kijana anajulikana kwa Jina "Johnson Mkubwa The Super Star'' Nchini Burundi kwote Kijana huu wanamujua kama J. Mkubwa The Super Star, na kama mlivyo sikia ndani ya maongezi, amesema kua anatarajia pia kwenda Nchini Burundi kucheza filamu na wasanii wa burundi. 

Basi ndugu wa dau maendeleo ni haya, na kama unataka kwendesha mbele kazi yako, mwenyewe the Superlative Kaburungu naweka wote kua wa Super Actors and Stars. Tusaidiane kwendesha kazi mbele na tuendesha Nchi yetu kwa maendeleo kali! Johnson Mkubwa anakuja kwa hali ya juu kuiendesha mbele Nchi yetu Burundi kwa tasnia ya filamu! 

Na Mshukuru Mungu kwa kunipa vipaji mbali mbali na kuweza kuwasaidia wengine wakatimize ndoto zao. Natena Namshukuru Mungu amemuezesha J. Mkubwa kwakufikisha ndoto yake na namtakia kila la heri Mungu amuwezeshe pia kwa mengine zaidi ambae anatarajia kufanya! 

Hongela J. Mkubwa The Super Star