Monday, July 9, 2012

Juma Pili (Sunday) Baada ya Mkutano


Apa ni baada ya Mkutano Ijuma pili, mambo ya mapozi yakajitokeza. Ndani ya picha hii kuanzia kulia ni: Olive Nd.  Orene N.  Niyera J.  Seth V.  Didas N.  Jeanne Ir. 

Ni baada ya ibada kuisha, Jamani tulijaribu lote tuliwezalo kwa kuhakikisha Mkutano kwenda salama. Mengi zaidi mutaona ndani ya siku chache maana hapa tu nawahakikishia kua mkutano umefanyika kama kawaida na Mungu ametenda yake kama vile alivyo kua anatenda siku zote. Jamani Tumekutana na Vijana wengi katika mkutano huu, Ilikua mala ya kwanza kuonana kama Viongozi wa kundi hii ya CAG  (Covenant Ambassadors Group), 

Walio shiriki katika Mkutano huo kutoka CAG Ni: 

Olive -from Houston, TX 
Orene  -from Houston, TX
Niyera  -from Rochester, NY 
Emmelyne  -from Rochester, NY 
Jeanne  -from Lafayette, LA 
Seth  -from Hilo, HI 
Gloria  -from Nashville, TN 
Clemmentine -from Houston, TX 
Charles  -from Des Moines, IA 
Musa  -from Houston, TX 
Bukuru C.  -from Roanoke, VA 
Peresi   -Rochester, NY 
Didas  -from Dallas, TX 
Agnes,  Angelique, Jeanine, Juma  -from Dallas, TX 

Na wengineo walio shiriki kutoka katika fasi mbalimbali kama waalikwa. Wa kutoka CAG kulija na wengine ambao bado walikua hawajulikani kabisa kwasababu tuliwajulia apo apo wadai kwamba washudia Line ya CAG ila Hawajitambulishi majina yao. 

Wadau, nitawajulisha mengine badaye; kama nilisema apa nilikua nawahakikishia kama mkutano umefanyika tena kwa furaha tele