Ndugu wapendwa hii inaweza kua Cover ao inaweza kubadilika kutokana na hari ya uhariri. mwaka ulio pita niliwaeleza kwamba nipo katika maandizi na kwaya ua Hossana kwaya kwa kutoa Album.
Kwa sasa nipo Seattle, WA kumalizia kazi ya uandaji ya Album hii, siku zijazo mutapata mzigo. Sikueza kuhariri kutokana na mda maana nina kazi nyingi sana ndani ya Mwaka huu, pia naelekea Dallas, TX kwa maandilizi ya mkutano wa Vijana July 7-8, 2012. Katika Album hii kwa wingi mutanisikia kwa masauti ila katika video sitakua naoenekana kwa sana kwasababu sikupata mda kutosha kwa kuchukua videos.
Cover itabadilika sina uhakika ila nitawajulisha mda ukifika. kueni tayari mzigo unakaribia kuwafikia mwaka huu!